Lodge supervisor
Zoomtanzania
| Company | Zoomtanzania |
| Category | Hospitality |
| Location | Simiyu |
| Remote | On-site (inferred) |
| Employment | Not stated |
| Level | Mid |
| Salary | Not stated by the employer |
| Posted | 28 Apr 2024 |
| Last verified | 12 Aug 2026 |
| Source | The employer's own careers page (company_site) |
Description
Majukumu ya lodge supervisorKuwapokea wageni na kusaini kwenye kitabu cha wagenianyaKuhakikisha usafi unafanyika kwenye vyumba ,mashuka na kwenye vyoo na usafi wa Mazingira kwa ujumla.Kuhakiki chumba kabla na Baada ya MatumiziKuhakikisha feni,hiter,na taa zimezimwa kwa wakati .Kuhakikisha maji yamejazwa kwenye tanki kila siku.Kusimamia ulinzi wa vifaa vya wageni na vya lodge .Kutuma mauzo kila siku kwenye Akaunti .N.b kuomba kazi hii tuma Barua ya maombi na wasifu wako (CV) kwenye E-mail hii [email protected]